Maalim Seif>>> ”NATAMANI SANA BAKWATA NA WAO WATOE TAMKO’


Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema anatamani kuona Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na wao wakitoa waraka wao kama walivyofanya Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa kutoa waraka wa ujumbe wa Sikukuu ya Pasaka.
 
Ameyasema hayo leo wakati akisoma maazimio ya Kamati ya Utendaji ya Taifa ya chama hicho iliyokutana, Seif amesema anafarijika kuona  viongozi wa dini  wanakemea mambo ambayo hayaendi sawa nchini.

 

No comments

Powered by Blogger.