Hospitali ya MMAC wafanya mafunzo usafirishaji wa damu
Hospitali ya MMAC kupitia kitengo cha Dialysis wamefanya mafunzo kuhusu huduma ya usafirishaji damu kwa madaktari,waguuzi kabala ya kuanza rasmi huduma hii inayotarajiwa kuanza mnamo MWEZI WA NNE
Hospitali ya MAMC kupitia kitengo cha Dialysis wamefanya mafunzo kuhusu Huduma ya usafishaji damu ( Hemodialysis) kwa madaktari,waguuzi kabla ya kuanza rasmi huduma hii inayorajiwa kuanza mnano MWEZI WA NNE pic.twitter.com/Komf3Hk132— MAMC (@Mamc_2018) March 27, 2018
Hospitali ya Apollo washauriwa kuanzisha kambi ya upasuaji katika Hospitali ya MAMC iliyopo Kampasi ya Mloganzila, yalisemwa haya wakati wa kongamano la wataalamu lililo jumuisha jopo la madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Apollo, india pic.twitter.com/NAEvJDUBYM— MAMC (@Mamc_2018) March 27, 2018
No comments