Siku ya Mazishi,Familia ya AKWILINA kuhusu kugomea kuchukua Mwili hospitali

Msemaji wa Familia ya Marehemu Akwilina Akwilini, Festo Kawishe ametoa ufafanuzi kuhusu kitu kilichosababisha wao kugoma kuupokea mwili katika hospitali ya Taifa Muhimbili siku ya February 19, 2018. 

“Tulichowaambia Polisi ni kwamba msimamo wetu tunataka kujua kipi kimemuua ndugu yetu, tukataka uchunguzi ufanyike, Doctor ameniambia alipata jeraha la kitu chenye ncha kali kama goroli, mimi nikahisi ni Bunduki na nikamwambia kama ndicho utaandika Doctor mimi nitaenda kumzika ndugu yetu” -Festo Kawishe

   

Msemaji wa Familia kazungumza kuhusu Serikali kugharamia Mazishi 

 

No comments

Powered by Blogger.