Nyumba ya Maajabu iliyoko nchi kavu,vyumba vyake viwili milioni 100

Lulu Diva ambaye ameachia wimbo mpya hivi karibuni kaelezea gharama za video hiyo ambayo amesema kuwa si chini ya milioni 15 lakini pamoja na hilo kaelezea mjengo wake mpya ambao anasema kanunua milioni 100 na kaukarabati upya. Lulu Diva amesema kuwa maisha yake anayaendesha kupitia muziki na watu wasimshangae kumuona ana gari zuri na kuishi maisha mazuri, pamoja na hilo kazungumza kuhusu uhusiano wake na msanii wa WCB Rich Mavoko kama wanauhusiano.

No comments

Powered by Blogger.