"Napo changia mawaziri wanacheka,Nasikitika sana" - Mbunge Aeshi

Aeshi amesema ..>>>“Waziri amesema wameruhusu kusafirisha mahindi kokote lakini hapohapo anaweka kikwazo kingine cha kuwa na kibali, hapo ni kutengeneza rushwa. Nasikitika sana tunapochangia mawaziri wanacheka” 

No comments

Powered by Blogger.