Mbunge Bashungwa (+Video) - "Kwa hili Ngoma bado Mbichi"

Wabunge walikuwa wakijadili taarifa ya kamati ya Bunge ya Nishati na Madini pamoja na kamati ya Miundombinu ambapo kati ya waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ambaye aliishauri Serikali namna bora za kutengeneza fursa za ajira kwa kutumia rasilimali za nchi na kuwanufaisha watanzania wengi.February 5, 2018

No comments

Powered by Blogger.