Maamuzi ya Zari yanavyomtesa Diamond Platnumz
Diamond Platnumz ameonekana kuonyesha hisia zake juu ya maamuzi ya Zari kuachana nae, kupitia instagram account yake Diamond amekuwa akipost video clips mbalimbali za nyimbo za mapenzi.
Kupitia instagram ya Diamond Platnumz amepost kipande cha wimbo wake wa Sikomi na kuandika
“Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae😟…. Anyways 28 Days Before the Reveal of #AboyFromTandaleAlbum!🔥 #SikoMi Bonus Track on #AboyFromTandale Available on All Digital Platforms now!”
Diamond Platnumz amepost video kupitia ukurasa wake wa instagram wa wimbo wa Khalid Chokaraa kuachwa
Ni kweli Mbosso alimtabiria Diamond kuhusu penzi lake na Zari?

No comments