hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye harusi ya AY na Remy


AY alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy nchini Rwanda ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy, harusi ya AY ilihudhuriwa na mastaa wachache kutoka Bongo akiwemo Mwana FA,Meneja wake Sallam Sk 

 

No comments

Powered by Blogger.