Binti wa miaka 7 Wampa umaarufu Hollywood kutokea Nigeria


Emanuella Ella Angel ni msichana mwenye umri wa miaka saba kutokea nchini Nigeria ambapo amekuwa maarufu na kufahamika baada ya kufanya video clips fupi kuhusiana na comedy na kupata airtime kupitia mitandao ya kijamii. 
 
A post shared by Emanuella (@officialemanuella) on
   
 Kupitia ukurasa wa instagram wa Emanuella ameweka wazi kuwa hakutegemea kufika hapo alipo baada ya kuoneka kufanya kazi na Disneystudios ambazo zipo California Marekani


No comments

Powered by Blogger.