"Askofu Kakobe amemuomba Rais Magufuli msamaha" - TRA

Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere wakati akitoa taarifa ya uchunguzi dhidi ya Kanisa linalomikiwa na Askofu Kakobe la Full Gospel Bible Fellowship ameeleza kwamba Askofu huyo amemuandikia barua Rais Magufuli ya kumuomba msamaha. 

TRA wamesema wakati wanaendelea kumchungumza Askofu Kakobe,Askofu huyo alimwandikia barua Rais Magufuli kumuomba radhi na aliomba radhi kutokana na kauli ya kebei pamoja na matamshi ya dharau kwamba ana hela nyingi kuliko Serikali 

 

No comments

Powered by Blogger.