Alichozungumza Trump kuhusu kuwapa Walimu Bunduki mashuleni

Wiki moja imepita tangu limetokea shambulio la risasi lililofanywa na kijana wa miaka 19, Nikolas Cruz, alilolifanya katika shule aliyokuwa akisoma kabla ya kufukuzwa iitwayo Marjory Stoneman Douglas High School iliyopo Parkland Florida, na kuuwa watu 17. 

Hatahivyo Rais Donald Trump ameeleza kuwa kuwapatia Walimu silaha kutasaidia kuzuia mashambulio ya risasi yanayofanyika mashuleni kwani wataweza kukabiliana na washambuliaji haraka kabla hayajatokea maafa makubwa.

 

No comments

Powered by Blogger.