Wanawake waliovishana pete jinsia moja Mwanza wapelekwa mahakamani

washitakaiwa hao wanne baada ya kufikishwa Mahakamani wamekana makosa yao na kesi yao imepelekwa mbele hadi december 13 2017. washitakiwa hao ni pamoja na Janeth Julius Shonza (alievishwa pete), Milembe Suleiman (alievisha pete) akiwemo na Athen Mkuki aliekuwa akishuhudia wakati tendo likifanyika na Richard Fabian ashitakiwa kusambaza video katika mitandao.

No comments

Powered by Blogger.