Viruses Waitesa Marekani Trump Aweka Antivirus Ukuta wa Mexico

wakati akiwasilisha hotuba yake Rais Trump ametaja kuwa china na urusi ni washindani wanaoipinga marekani katika ngazi ya kimataifa licha ya kuwa marekani inaongoza kwakuwa na jeshi lenye nguvu lakini bado wapizani wake wa kisiasa na uchui wanahangaika duniani kote ili kuitoa katika mstari huku wakiwa wanakabiliwa na makundi ya kigaidi mitandao ya wahalifu na watu wengine ambao wanaochochea vurugu hivyo kuna umuhimu wa Taifa hilo kujilinda. "lazima tuwalinde wamarekani na tamaduni zao za maisha mikakati hii imedhihirisha kuwa hatuwezi kulinda Taifa letu kama hatutalinda Mipaka yetu hivyo lazima ujenzi wa ukuta katika mpaka wa mexico uanze">>>DONALD TRUMP

No comments

Powered by Blogger.