kampuni ya Ethiopian Airways wakiwa na wa Miss Universe kutua kesho lagosi

Ndege kubwa wakiwa wafanya kazi wake ni wa kike limetangaza safari yake ya kwanza kwenda NIGERIA KESHO itaongozwa na wanawake pekee kuanzia marubani, wahudumu, mafundi mitambo nk. hii si ya kutosha nchini nigeria. kutoka Addis Ababa Nigeria december 16 2017 hadi Lagos Nigeria mnamo kesho. Hii itakuwa ndege ya kwanza kuongozwa na wanawake pekee barani Afrika.

No comments

Powered by Blogger.