IGP SIMON SiRRO Atoa pongezi KATAVI

Sirro aahidi kuunda tume maalamu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ushirikina mkoani katavi,aidha amesema changamoto kubwa ni uhaba wa nyumba za maaskari na ameitaka kamati ya ulinzi na usalama kufanikisha utaratibu wa nyumba hizo kupatikana. pia aipongeza kwa kupunguza uhalifu mkoani katavi

No comments

Powered by Blogger.