Dunia imetikisika:Star aliyejinyonga korea kusini AFANYIWA mazishi leo kilio kikubwa

Kim Jong-hyun ambaye alijinyonga Jumatatu hii amezikwa leo kutoka kundi la Shinee Korea Kusini.
Jonghyun alikuwa na umri wa miaka 27 ulikuwa umehifadhiwa katika hospitali ya Asan Medical Center kabla ya kuzikwa leo mjini Seoul
Dada wa marehemu Kim Jong-hyun akiwa ameshika picha ya kaka yake huku akilia kwa uchungu.

No comments

Powered by Blogger.