Tatizo la Umeme Lindi na Mtwara itabaki kuwa historia TU,Mjapani apiga kazi nzito.

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) yapata ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika la JICA JICA watafufua umeme zaidi ya megawatt 300 kutoka grid ya taifa ambayo itasaidia kuondoa kero za wananchi wa Lindi na Mtwara Na watahakikisha kuwa itabaki stori tu.

No comments

Powered by Blogger.