Mbatia aanguka Hotelini

James Mbatia akiwa kama Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi ateleza na kuanguka hotelini Uhuru wakati akifanya maendeleo na wadau kwa sasa amelazwa hospitalini KCMC Moshi akipata matibabu ya mkono uliovunjika.

No comments

Powered by Blogger.