Dakika 35 za Zima Moto Kenya kupata Mwali wa Kwanza

Nafasi ya mchezaji Abdul-Azizi Makame wa Zanzibar Heroes yapokelewa dakika 19 na Feisal Salum. Makame ndiye aliyecheza madhambi hatimaye kuwazawadia Kenya bao la kwanza la ushindi kwa Free-Kick.

No comments

Powered by Blogger.